May 23, 2017



Timu ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 maarufu kwa jina la Serengeti Boys inatarajiwa kuondoka jijini Libreville, Gabon saa 7.15 usiku wa kuamkia kesho Jumatano na itaingia saa 8.50 mchana ambako moja kwa moja itakwenda kambini Hoteli ya Urban iliyoko katikati ya jiji la Dar es Salaam, Tanzania. Watasafiri kwa ndege ya Afrika Kusini.

Alfred Lucas

MSEMAJI TFF

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic