May 24, 2017Bao la Shiza Kichuya wa Simba alilofunga dhidi ya Yanga, ndiyo limetwaa tuzo ya bao bora katika msimu wa 2016-17 wa Ligi Kuu Bara.

Kichuya ameibuka mshindi katika mabao bora dhidi ya mengine mawili dhidi ya lile alilofunga Peter MWalyanzi anayecheza kwa mkopo African Lyon na Zahoro Pazi wa Mbeya City aliyefunga dhidi ya Mbao FC.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV