May 24, 2017Mbaraka Yusuf ndiye mchezaji bora kati ya wale chipukizi katika Ligi Kuu Bara msimu wa 2016-17.

Mbaraka ameshinda tuzo hiyo huku akiwa kati ya wachezaji waliofunga zaidi ya mabao 10 katika msimu huo uliomalizika wiki iliyopita.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV