May 24, 2017


 
kikosi cha timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17, Serengeti Boys wamerejea Dar es Salaam na kupokelewa na Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe.
Serengeti Boys imeshindwa kusonga mbele katika michuano ya Afcon nchini Gabon baada ya kufungwa mechi yao ya mwisho kwa bao 1-0 dhidi ya Niger.



Dk Mwakyembe amewapongeza kutokana na walipofikia licha ya kwamba wameshindwa kutimiza ndoto ya kucheza Kombe la Dunia.











1 COMMENTS:

  1. Mapambano yanaendelea mmejitahidi vijana wawekwe kambi moja kwa kuwa bado tuna mashindano mengine na hasa tukizingatia vijana wanakuwa ngorongoro heroes

    ReplyDelete

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic