HIMID MAO AANZA MAJARIBIO NCHINI DENMARK, YATAKUWA YA SIKU 10 Kiungo Himid Mao ameanza majaribio ya siku 10 katika kikosi cha Rainders cha nchini Denmark. Klabu ya Azam FC imesema Himid maarufu kama Ninja atakuwa nchini humo kwa siku 10. Tayari amewasili nchini humo na kuanza mazoezi ambayo ndiyo majaribio.
0 COMMENTS:
Post a Comment