Man United imetinga fainali ya Europa League na sasa itacheza na Ajax Amsterdam ya Uholanzi ambayo itachezwa Mei 24, mwaka huu jijini Stockholm nchini Sweden.
Man United imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya Celta Vigo ya Hispania ambayo iliing’oa KRC Genk anayochezea Mtanzania Mbwana Samatta katika hatua ya robo fainali.
Shujaa wa Man United alikuwa Marouane Fellain aliyefunga bao la mapema kwa kichwa kabla ya Vigo kusawazisha.
0 COMMENTS:
Post a Comment