May 11, 2017


Nyota wa enzi zile waliokuwa na uwezo mkubwa wameonekana kwa mara nyingine wakiwa pamoja nchini Bahrain.

Nyota hao walialikwa na shirikisho la soka la nchi hiyo katika uhamasishaji wa watoto kupenda mchezo wa soka.


Diego Maradona alionyesha majonjo na kuwavutia waliohudhuria uwanjani hapo wakati wa mechi maalum.

Lakini nyota wa zamani wa Barcelona, Ronaldinho ndiye alikuwa kivutio zaidi.

Lakini wakongwe zaidi kama Carlos Valderrama Cafu na David Trezeguet walishangiliwa kwa nguvu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV