Kocha Jose Mourinho yuko katika wakati mgumu akiwa hajui yupi ambakize au amuache.
Hii inatokana na kikosi chake kuandamamwa na majeraha mfululizo.
Hali inayomfanya kuchanganya mambo mfano, amuache Zlatan Ibrahimovic a’mbaye ameumia na hatarudi msimu huh wall ujao mwanzoni?
Lakini bado hajui katika nafasi ya kipa asajili au asubiri kuona David de Gea kama ataenda Real Madrid au la?
Hata hivyo Mourinho amekuwa akiendelea kupambana bila ya kuchoka akiwa na matumaini ya kukiingiza kikosi chake katika Top Four.
Mourinho ambaye amewahi kubeba ubingwa wa England akiwa na Chelsea kwa nyakati tofauti, alianza kwenda mwendo mzuri katika mechi za mwishoni lakini majeruhi mfululizo, yanazidi kumuweka katika wakati mgumu.

0 COMMENTS:
Post a Comment