May 8, 2017Lazio imeonyesha haitaki mchezo katika Ligi Kuu Italia maarufu kama Serie A baada ya kuitwanga Sampdoria kwa mabao 7-3.

Ushindi huo unaifanya Lazio kufikisha mabao 16 ndani ya mechi tatu tu ilizocheza.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV