May 27, 2017



Ule mtanange wa Simba vs Mbao FC katika mechi ya fainali ya Kombe la Shirikisho kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma umeokana kuwavuta watu wengi sana.

Asilimia kubwa ya mashabiki walikuwa wakihaha tokea jana wakitaka tiketi kwa ajili ya kuingia uwanjani na zinaonekana kuwa adimu utafikiri madini ya almasi.


Lakini hadi leo asubuhi, tiketi zinaonekana kuwa lulu kila mtu akitaka na imeelezwa wako walionunua nyingi na kuanza kulangua.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic