BAADA YA BATA, RONALDO AREJEA MAZOEZINI KWA AJILI YA CONFIDERATION CUP Baada ya mapumziko mafupi, Cristiano Ronaldo amerejea mazoezini kwa ajili ya michuano ya Confideration Cup. Ronaldo ameanza mazoezi na kikosi cha Ureno ambao ni mabingwa wa Ulaya. Ameoneka ni mwenyewe furaha tayari kwa ajili ya michuano hiyo.
0 COMMENTS:
Post a Comment