June 13, 2017







Hatimaye Golden State Worriers wametimiza ndoto yao ya kuchukua ubingwa wa NBA.

Wamechukua ubingwa baada ya ushindi wa pointi 129-120 dhidi ya Cavaliers ukiwa ni mchezo wa tano.

Maana yake kwa ujumla, State wameshinda kwa michezo 4-1 na kuwa mabingwa rasmi.


Awali walianza kushinda michezo mitatu mfululizo kabla ya Cavaliers kuamka na kushinda mmoja.


Lakini leo ilionekana tena ni zamu ya States ambao waliongozwa na Kevid Durant na Stephen Curry.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic