June 11, 2017



Kipa Benedict Haule amejiunga na Azam FC kwa kusaini mkataba wa miaka miwili.

Haule amejiunga na Azam FC kuziba pengo la Aishi Manula ambaye ametimkia Simba.


Awali, Haule aliwahi kuichezea Azam FC kwa upande wa timu B, lakini baadaye akaondoka na kujiunga Panone ya Kilimanjaro iliyokuwa inashiriki Ligi Daraja la Kwanza.


Msimu uliopita alifanya vizuri ikiwa ni pamoja na kuifikisha Mbao FC katika fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Simba.


0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic