Aina ya unyoaji wa Cristiano Ronaldo sasa ni sawa kabisa na mwanaye, Ronaldo Jr.
Awali Ronaldo alinyoa tofauti, mara tu baada ya kuingoza Real Madrid kuwa bingwa Ulaya kwa mara ya 12.
Mwanaye alikuwa akionekana tofauti. Lakini sasa naye anaonekana akiwa na “myoo” kama wa baba yake.
0 COMMENTS:
Post a Comment