June 11, 2017




Simba imemalizana na Shomari Kapombe, unaweza kusemma amerejea nyumbani.

Si hadithi kama ilivyokuwa awali, lakini leo Kapombe amesaini mkataba mpya wa miaka miwili.

Kapombe ataanza kuichezea Simba msimu ujao na kama unakumbuka alianza kung’ara akiwa na Simba kabla ya kwenda Ufaransa.

Hata hivyo, hakudumu Ufaransa akaamua kurejea nchini na kujiunga na Azam FC aliyoichezea kwa misimu mitatu na ushee.


Sasa amerejea Simba baada ya kumalizana na Simba leo mchana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic