LIVE: HASSAN DALALI WA SIMBA AKIFUNGUKA MAZITO KATIKA SPOTI HAUSI GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kimeongea EXCLUSIVELY na Mwenyekiti wa zamani wa Timu ya Soka ya Simba Sport Club, Hassan Dalali na kufunguka mengi kuangazia klabu yake na soka la bongo kwa ujumla.
0 COMMENTS:
Post a Comment