June 25, 2017Mshambuliaji Emmanuel Okwi amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba.

Okwi amesaini mkataba huo hivi punde mbele ya Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geofrey Nyange 'Kaburu' huku bilionea Mohammed Dewji akishuhudia.

Okwi alitua nchini jana akitokea kwao Uganda na leo amemalizana na Simba ambayo anakuwa amejiunga nayo kwa mara ya tatu.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV