Michuano ya Mabara itaanza rasmi wikiendi hii ikishirikisha timu nane kutoka sehemu mbalimbali duniani.
Mashabiki wa soka nchini, wamepata bahati kwa kuwa watashuhudia michuano hiyo mubahara kabisa.
StarTimes itarushusha michuano yote hiyo kutoka nchini Urusi ambayo fainali yake ni Julai 2.
MAKUNDI...
KUNDI A
Russia
New Zealand
Ureno
Mexico
KUNDI B
Cameroon
Chile
Australia
Ujerumani
0 COMMENTS:
Post a Comment