June 4, 2017


Kocha wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameweka rekodi ua kuwa kocha wa kwanza kulitetea Kombe la Ligi ya Mabingwa Ulaya.

Madrid imeshinda ubingwa wa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo baada ya kuitwanga Juventus kwa mabao 4-1.

Zidane ameiongoza timu hiyo kubeba ubingwa wa Ligi ya Mabingwa Ulaya kwa mara ya pili mfululizo.


Hivyo, rekodi ya kocha aliyebeba kombe hilo mara mbili au kulitetea inakwenda kwa raia huyo wa Ufaransa ambaye amewahi kuzichezea kwa mafanikio Juventus na baadaye Madrid.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV