July 18, 2017
Arsenal wameendelea na maandalizi yao katika msimu mpya wakiwa jijini Shangai, China.

Joto la mji huo limepanda hadi kufikia nyuzi joto 30, hali iliyosababisha kocha Arsene Wenger kuwapoza wachezaji wake kwa kuwaingiza katika maui ya barafu.

Baadhi ya wachezaji walionekana kulalamika kutokana na joto hilo kali.

Wengine walikubaliana na hali hiyo na 
Mohamed Elneny, Aaron Ramsey, Olivier Giroud, Theo Walcott na Danny Welbeck walionekana kushindwa.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV