July 13, 2017


Everton FC watatumia upande ambao wamekuwa wakitumia Yanga na Gor Mahia watatumia upande ambao hutumiwa na Simba.

Hii ni katika mechi ya kirafiki ya kimataifa ambayo itapigwa leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam kuanzia saa 11 kamili.

Uwanja una mwonekano mpya na sehemu ya geti la kuingia uwanjani unaonekana kupambwa vizuri kwa nembo na jezi za timu hizo mbili.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV