July 2, 2017


Mshambuliaji Harry Kane wa Tottenham amemvisha pete ya uchumba mpenzi wake na mzazi mwenzake.


Kane amefanya hivyo wakiwa ufukweni na kumshitua mrembo huyo aitwaye Kate ambaye wamezaa naye mtoto mmoja.


Wawili hao wamezaa binti aitwaye Ivy Jane ambaye walikuwa naye pamoja kipindi hiki cha mapumziko.
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV