July 2, 2017


Bayern Munich wametoa jezi zao mpya za nyumbani na ugenini kwa ajili ya msimu wa 2017-18.

Jezi hizo zinafanana na zile ambazo walikuwa wakivaa katika miaka ya 1990 lakini za sasa zikiwa zimeboreshwa.0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV