July 5, 2017


Hamu ya kumuona mshambuliaji Alexandre Lacazette akivaa jezi ya Arsenal, imekamilika.

Rasmi leo Arsenal imemtambulisha mshambuliaji wake huyo mpya iliyemnunua kwa dau kubwa zaidi la pauni million 53.

Lacazette ametokea Lyon ya Ufaransa ambayo ndiyo ilimkuza kisoka.


KAZALIWA: May 28, 1991
UMRI: 26
KLABU: Lyon, Lyon II
MECHI: 289
MABAO: 136 
MECHI TIMU YA TAIFA (Ufaranda): 11

BAO: 1 
0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV