July 18, 2017


Simba imejipanga kufanya biashara kubwa ya jezi za wachezaji wawili wa kimataifa nao ni Emmanuel Okwi na Haruna Niyonzima.

Niyonzima raia wa Rwanda na Okwi kutoka Uganda wameishamalizana na Simba na wanachosubiri ni kuanza kazi tu.

“Jezi zao zitauzwa sawa na wengine lakini ni lazima kufanya oda kubwa ya jezi zao,” kilieleza chanzo.

Wachezaji hao watatambulishwa rasmi katika tamasha la Simba Day. Tayari maandalizi ya msimu mpya yameanza na Simba iko Afrika Kusini.



0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic