July 16, 2017
Kikosi cha Simba sasa imethibitika kuwa kitaweka kambi nchini Afrika Kusini.

Simba itaweka kambi nchini humo kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara na michuano ya kimataifa.


Taarifa zinaeleza baada ya maelezo ya jijini Dar es Salaam, Simba itaondoka Jumatatu ijayo kwenda Afrika Kusini.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV