July 16, 2017


Moja ya makubaliano ili atue Yanga, Ibrahim Ajibu alipewa gari aina ya Toyota Brevis.

Hivi karibuni, mshambuliaji huyo wa Yanga amekuwa akitembea na gari lake mitaani tofauti na ilivyokuwa awali.

Rafiki zake katika maeneo ya ilala yamekuwa wakimuunga kwenda Yanga kwa kuwa angalau amepata kitu kuliko ilivyokuwa awali.

Hata mazoezini, awali Ajibu alioenekana kuwa hajazoea lakini siku mbili hizi, anaonekana kuwa ni mwenye furaha.

“Unajua kidogo ilikuwa ni kitu kigeni kwake, sasa mambo yako vizuri angalia hata ushiriki wake wa mazoezi.


“Hamumjui tu, Ajibu ni mtu simpo sana,” alisema rafiki yake mmoja akizungumza na SALEHJEMBE.

1 COMMENTS:

  1. Aaache uvivu ajielewe na mwenye kipaji kikubwa sana na hazina kwa Taifa nina mtakia kila la heri

    ReplyDelete

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV