July 6, 2017


SUBSCRIBE NOW: https://www.youtube.com/user/uwazi1

GLOBAL TV Online, Kupitia kipindi chake cha Michezo, SPOTI HAUSI, kimeongea EXCLUSIVELY na Golikipa Mstaafu, MANYIKA Peter ambapo amezungumzia vita ya namba kati ya magolikipa wawili wa Timu ya Simba, Peter Manyika (ambaye ni mwanae) na golikipa mwenzie Manula..

USIKOSE KUAGALIA SPOTI HAUSI KILA ALHAMIS HAPA HAPA, GLOBAL TV LIVE, SAA 10:00 ALASIRI

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV