July 8, 2017


 Manchester United iko katika hatua za mwisho kumnasa mshambuliaji Romelu Lukaku kwa kitita cha pauni million 75.

Pamoja na Lukaku, Jose amemmlenga kiungo Ivan Perisic raia wa Croatia. Kama atawapata hawa, maana yake kikosi chake msimu ujao kitaonekana kama unavyoona hapo juu.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV