July 26, 2017Kiungo Papy Kabamba Tshimbi yuko katika hatua za mwisho kutua Yanga na imeelezwa atachukua mkataba wa miaka miwili baada ya kufuzu vipimo.

Tayari kila kitu, Tshishimbi raia wa DR Congo kutoka Mbambane Swallows ya Swaziland wamekubaliana na Yanga na baada ya vipimo, kama Yes, basi mkataba unakuwa Yes.


Hata hivyo, kiungo huyo mkabaji anaonekana yuko vizuri na ana nafasi ya kufuzu vipimo kwa 99%.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV