July 28, 2017



Shaffi Dauda ameamua kujitoa kugombea ujumbe wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF).

Dauda ambaye ni mwanahabari alishikiliwa na Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru) jijini Mwanza kwa tuhuma za rushwa.

Baada ya hapo alilaumu kufanyiwa figisu makusudi kwa sababu ya masuala ya uchaguzi na leo ametangaza kujitoa kuwania nafasi ya ujumbe.


Uchaguzi huo umepangwa kufanyika Agosti 12 mjini Dodoma.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic