July 14, 2017Najua ulisikia beki Kelvin Patrick Yondani wa Yanga ameamua kuachana na ukapera.

Tayari alianza na Send Off halafu akamalizia mambo na huyu ni mzazi mwenzake ambaye ameishi naye miaka mingi.


Hongera Yondani kwa kuamua kufanya kweli.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV