July 13, 2017


Yanga ilianza mazoezi jana kwenye gym ili kuongeza uimara wa wachezaji.

Kikosi hicho asubuhi ya leo kimeendelea na mazoezi tena gym.Baada ya hapo, Yanga itaanza mazoezi ya uwanjani kujiandaa na msimu mpya wa Ligi Kuu Bara 2017-18.


Kocha George Lwandamina amekuwa akisimamia mazoezi hayo ambayo hata hivyo yanafanywa zaidi na wasaidizi wake.

0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV