July 17, 2017Kiungo wa zamani wa Yanga na Coastal Union, Bakari Masoud ambaye ilionekana atasaini Simba, ametua Mbeya City.

Masoud amejiunga Mbeya City kwa mkataba wa miaka miwili na tayari kuanza kazi mara moja.

Kiungo huyo aliyeanza kuonekana Yanga, aliichezea Simba katika michuano ya Kombe la SportPesa Super Cup.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV