August 20, 2017




Barcelona imeshinda kwa mabao 2-0 katika mechi yake ya La Liga dhidi ya Real Betis.

Pamoja na kwamba imecheza bila ya mshambuliaji wake, Luis Suarez, Barcelona ilionyesha soka safi huku beki wa Betis, Alin Tosca akianza kujifunga na Sergio Roberto akatupia la pili na kuifanya Barcelona kushinda hizo mbili ikianza La Liga vizuri.


Katika Uwanja wa Camp Nou, kulikuwa na ulinzi wa ziada kutokana na shambulio la kigaidi lililotokea siku tatu zilizopita na kusababisha vifo vya watu 14.










0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic