August 31, 2017




Kocha wa Yanga, George Lwandamina ameondoka kurejea kwao Zambia.
Taarifa za ndani kutoka Yanga zinaeleza, Lwandamina amepata matatizo ya kifamilia.
“Kweli kocha ameondoka leo kwenda kwao Zambia kutokana na matatizo ya kufamilia,” kilieleza chanzo.

Pamoja na baadhi kuhusisha safari ya Lwandamina na masuala ya kifedha au mkataba, mhusika amesisitiza ni matatizo ya kifamilia na Shadrack Nsajigwa amekabidhiwa majukumu ya kuendelea na Yanga.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic