August 25, 2017


Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp amesema hawatishwi na taarifa za kurejea kwa Alexis Sanches katika kikosi cha Arsenal.

Timu hizo zinakutana Jumapili katika mechi ya EPL na Klopp amesema wanaendelea vizuri na mazoezi yao ya mwisho kabla ya mechi hiyo.









0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic