August 25, 2017



Kiungo wa Simba, Haruna Niyonzima, juzi Jumatano alifanikiwa kupiga pasi 62 dhidi ya viungo wa wapinzani wao Yanga, waliokuwa wakiongozwa na Thaban Kamusoko na Papy Kabamba Tshishimbi katika mchezo wa Ngao ya Jamii.

Timu hizo zilikipiga juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar katika Ngao ya Jamii na Simba kuibuka na ushindi wa penalti 5-4.

Katika mchezo huo, Niyonzima alianza wa kupiga pasi 38 kipindi cha kwanza ambapo kati ya hizo, 32 ndizo zilifika huku tano zikipotea.


Kipindi cha pili Niyonzima alipiga pasi 24 ambapo kati ya hizo 21 zilifika kwa walengwa na tatu zikipotea njia, hivyo kuwa na idadi ya pasi 53 zilizowafikia walengwa huku 8 zikipotea kati ya 62 alizopiga ndani ya dakika 90.

SOURCE: CHAMPIONI 

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic