August 5, 2017


 Beki kisiki wa zamani wa Arsenal, So Campbell tayari ametua nchini na kupokelewa na shangwe za mashabiki wa Arsenal.

Mashabiki wa Arsenal waliokuwa nje ya Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kumpokea, walipata nafasi ya kupiga naye picha pamoja.

Baada ya kuwaona mashabiki hao, Campbell ambaye yuko nchini kwa mwaliko wa SportPesa, aliwafuata na kujumuika nayo wakipiga picha pamoja kwa furaha.


0 COMMENTS:

Post a Comment

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV