September 19, 2017


Arsenal wameendelea kujifua kwenye Uwanja wao wa nyumbani katika eneo la Colney nje ya jiji la London.

Arsenal imefanya maandalizi yake ya mwisho leo na kesho watakuwa kwao Emirates kuwavaa Doncester katika mechi ya Kombe la Ligi.











0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic