September 5, 2017

KOCHA Mkuu wa timu ya Mbao FC ya mkoani Mwanza, Ettien Ndayiragije baada ya kupata ushindi katika mechi ya kwanza bao 1-0 dhidi Kagera Sugar ameibuka na kusema kuwa kwake ni ushindi tu majina hafagilii.

Akizungumza juu ya kikosi chake, Ndayiragije alisema kuwa kama wameweza kuwafunga Kagera Sugar ambao ni timu kubwa basi hata kwenye mechi yao dhidi ya Singida United wataondoka na pointi tatu pia.

“Kama tumeshinda mechi ya kwanza na Kagera hata mechi na Singida vilevile tutapata ushindi, najua kuwa wamesajili wachezaji wenye majina lakini niseme tu kuwa hatuchezi na majina hata sisi pia tumewasajili,” alisema Ndayiragije.




0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic