September 25, 2017




Mshambuliaji nyota wa PSG, Edinson Cavani amekataa kitita cha pauni million moja ili kumpa Neymar kazi ya upigaji penalti.

Kwa mujibu wa gazeti la El Pais la Ufaransa, Cavani amekataa ofa hiyo ya bilionea wa PSG ili kumpa Neymar jukumu la kupiga kila penalti itakayopatikana.

Hali hiyo imejitokeza baada ya uongozi wa PSG kuamua kufikia mwafaka wa tafrani iliyozuka wakati wa mechi dhidi ya Lyon.


Katika mechi hiyo, ulizuka mzozo wa kupiga penalti na Neymar alitaka apige yeye badala ya Cavani.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic