September 24, 2017


Mechi ya upinzani mkubwa jijini Istambul kati ya Fenerbahce dhidi ya  Besiktas imeweka rekodi mpya baada ya wachezaji watano kulambwa kadi nyekundu.

Mechi hiyo iliyochezwa leo iliisha kwa Fenernahce kushinda kwa mabao 2-1 lakini kadi 11 za njano zilitembea.

Wachezaji watano wa timu hizo walitolewa nje huku watatu kati ya hao wakitolewa nje katika dakika 5  za mwisho.

Wachezaji waliolambwa kadi nyekundu katika Uwanja wa Ulker ilipochezwa mechi hiyo ni pamoja na Ricardo Quaresma, Luis Neto, Atiba Hutchinson, Ismail Koybasi na Oguzhan Ozyakup.






0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic