September 23, 2017



 Dani Ceballos ambaye ni kinda tu, amepiga bao mbili na kuiwezesha Real Madrid angalau kuibuka na ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Alaves waliokuwa nyumbani.


Mwendo wa Madrid umekuwa wa kusua katika La Liga lakini mabao hayo ya Ceballos yameibeba kwa kuwa hata staa wao, Cristiano Ronaldo alionekana hana nafasi ya kuwa “mwokozi”.





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic