September 14, 2017


Mashabiki wa FC Cologne wa Ujerumani wamezua tafrani katika mitaa ya London jirani na Uwanja wa Emirates lakini ndani ya uwanja huo na kusabbaisha mechi ya Europa League dhidi ya Arsenal kusogezwa hadi saa 5:05.

Muda huo ni hivi punde na askari wakiwa na mbwa na farasi wamelazimika kufanya kazi ya ziada kuwathibiti mashabiki hao wapatao 20,000 na asilimia 80 hawakuwa na tiketi za kuingia katika mechi hiyo.







0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic