September 3, 2017


Kipute cha kuwania kufuzu Kombe la Dunia kwa mwaka 2018 kimeendlea wikiendi hii, viwanja mbalimbali vimekuwa bize vikipambana kupata matokeo ya kufuzu kushiriki michuano hiyo itakayofanyika nchini Urusi.

Hata ndiyo matokeo ya michezo ya kufuzu katika mabara tofauti:

AFRICA
Septemba 2, 2017
Senegal 0 - 0 Burkina Faso
Gabon 0 - 3 Ivory Coast
Zambia 3 - 1 Algeria

Septemba 1, 2017  
Tunisia         2 - 1 DR Congo
Morocco 6 - 0 Mali
Cape Verde 2 - 1 Afrika Kusini
Nigeria         4 - 0 Cameroon



ULAYA
Septemba 2, 2017
Wales 1 - 0 Austria
Ukraine 2 - 0 Uturuki
Israel 0 - 1 Macedonia FYR
Spain 3 - 0 Italy
Finland 1 - 0 Iceland
Serbia 3 - 0 Moldova
Albania 2 - 0 Liechtenstein
Georgia        1 - 1          Republic of Ireland

Septemba 1, 2017
Romania 1 - 0 Armenia
San Marino 0 - 3 Northern Ireland
Czech              1 - 2 Ujerumani
Denmark 4 - 0 Poland
Slovakia         1 - 0 Slovenia
Lithuania 0 - 3 Scotland
Norway         2 - 0 Azerbaijan
Malta         0 - 4 England
Kazakhstan 0 - 3 Montenegro

AMERIKA KUSINI
Septemba 1, 2017
Peru    2 - 1 Bolivia
Brazil    2 - 0 Ecuador
Uruguay   0 - 0 Argentina
Chile   0 - 3 Paraguay





0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic