September 3, 2017



Kikosi cha Yanga kinatarajia kuendelea na mazoezi yake kesho kwenye Uwanja wa Uhuru.
Yanga inarejea mazoezini baada ya mapumziko mafupi baada ya kalenda ya kimataifa ya Fifa.

Kikosi cha Yanga kinarejea mazoezini huku baadhi ya wachezaji waliokuwa majeruhi kama Obrey Chirwa wakiwa vizuri.

Yanga ilianza ligi kwa sare ya bao 1-1 dhidi ya FC Lipuli iliyopanda daraja, jambo lililoonekana kuwashitua wengi.


Hata hivyo, benchi la ufundi la Yanga bado linaamini lina nafasi ya kufanya vema.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic