September 13, 2017


Kylian Mbappe amefunga bao lake la kwanza la Ligi ya Mabingwa Ulaya akiichezea PSG katika ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Celtic waliokuwa nyumbani.


Pamoja na kufunga bao hilo, Edinson amefunga bao moja, Neymar akaongeza moja huku Celtic wakijifunga bao jingine kukamilisha mabao matano katika mechi hiyo tamu ya Ligi ya Mabingwa Ulaya.












0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic