September 28, 2017




Mkurugenzi wa Utawala na Utekelezaji wa SportPesa Tanzania Ndugu Tarimba Abbas alianza kwa kuishukuru serikali kwa kuwa bega kwa bega tangu kuanzishwa kwa kampuni mpaka sasa.

“Ushirikiano wetu na serikali ndio umefanya tuweze kutimiza ndoto yetu kubwa ambayo ni kuona Tanzania inapiga hatua kwenye sekta ya michezo na ndio maana tunaendelea kuwaomba mtuunge mkono ili kwa pamoja tuweze kusaidiana kutimiza ndoto hii.”

“Marekebisho ya uwanja bado yanaendelea na tunatarajia kukamilika na kukabidhi mwezi Novemba mwaka huu.”

“Gharama zitakazotumika mpaka kukamilika kwa ukarabati huu ni shilingi Bilioni 1.3 TZS, hii ni mjumuisho wa ukarabati wa uwanja, vifaa, mishahara ya wataalamu na vitendea kazi kwa muda wa mwaka mmoja.”

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic