September 17, 2017


Wakati Real Madrid inashuka dimbani kuivaa Real Sociedad katika mechi ya La Liga, Kocha Mkuu, Zinedine Zidane amemuambia Gareth Bale anahitaji kuona matunda zaidi kutoka kwake.

Zidane amemuambia Bale ’28’ kwamba angependa kuona anafanya vema na kuwa msaada zaidi.

Mechi ya leo itakuwa ni ya tano na ya mwisho kwa Cristiano Ronaldo aliyesimamishwa mechi tano.


Maneno ya Zidane, ni wazi kwa kuwa tokea amerejea majeruhi, Bale hajawa msaada mkubwa sana.

0 COMMENTS:

Post a Comment

TwitterFacebookGoogle PlusLinkedInRSS FeedEmail

GONGA HAPA KWENDA AZAM TV

B2.jpg
Image and video hosting by TinyPic